Tumgik
#ustaarabu
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
*Happy Easter* 💦 *The promise of Neolife ... Your health is your greatest wealth* 💥 ✨ Join us ... gain & maintain your health without compromising on your wealth. https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E 💦 😀😇 DM +254721360774 for more information. Making the world healthier and happier…we are operating in 55 countries for the last 65 years 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Your heath is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya #Residual income #Kipato endelezi #Part-time income #Kipato cha ziada #Flexible work #Kazi ya muda wa ziada #Remote work #Kazi ya kufanya ukiwa mbali #Profits are better than wages #Faida ni bora kuliko mshahara #Live large #Ishi kwa ustaarabu https://www.instagram.com/p/CquwhTfLVOm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
jucelinoluzposts · 1 year
Text
Onyo la kiroho kwa Wabrazili na wageni kila mahali ulimwenguni
Onyo la kiroho kwa Wabrazili na wageni kila mahali ulimwenguni “Tunataka kukuomba wewe uliyechagua kuzaliwa na kuishi katika ardhi hii na wakati huu wa mabadiliko makubwa: Wiki hii usifanye mzaha kuhusu hali yako na shida unayopitia, kwa sababu unaishi maisha magumu. muda mfupi, aina ya mshtuko wa pamoja, kama kutembea katika jangwa la roho ya ustaarabu. Kuna hitaji la uzito sasa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tysonjac · 4 years
Video
Neno kwa Ajili ya ndugu zangu Umesemwa sana? #umbea #uongo #ustaarabu #fanyayako https://www.instagram.com/p/CDhxMucjHZL/?igshid=12gugq4mgzgpj
0 notes
novicbcvm-blog · 6 years
Video
TUMIA BAHASHA! Ushawahi kabidhiwa pesa ndani ya bahasha? Vipi ulijisikiaje? Na uliyaonaje mazingira ya makabidhiano hayo? Au ushawahi mkabidhi mtu fedha kwa kutumia bahasha? Makabidhiano yaliendaje? Na alijisikiaje? Ukilinganisha na kukabidhiwa noti zikiwa zimekunjwa kunjwa? Vipi njia hii inafaa? Nahitaji jua maoni yako..... Karibu #Ustaarabu #Fedha #Pesa #OuttaCurioCity #Maarifa #WaNURU🐝 #Inanihusu (at Korogwe)
0 notes
islamkingdomfrench · 3 years
Photo
Tumblr media
UISLAMU NA ELIMU - Njia ya saada
Hapana shaka kuwa Njia ya Furaha hapana budi kupita katika njia za elimu na ustaarabu, haiwezekani kwa hali yoyote kupita katika mabonde ya ujinga, na haipatikani dini wala fikra ambayo imenyanyua hadhi ya wanazuoni na kuheshimu miamala yao na kuhimiza kutafuta elimu na kuitumia akili na kulingania katika mazingatio na kufikiria kama mfano wa dini ya Uislamu aliokuja nao Mtume Muhammad
https://bit.ly/2Pm4STN
0 notes
soudybrown · 4 years
Photo
Tumblr media
Jana Hiyo #KidimbwiBeach Na Wanangu Wa Guiness... Nilikua Mmoja Wao Anadundisha Mpira Wa Volleyball Nikawaomba Tu Show Love kwa Kupiga Picha Ya Namna Hii tukiwa Tunavutana Kuugombea Mpira Yes Ni Kama Uchaguzi Eeeh...?? Kuelekea Uchaguzi Mkuu Nchini October 28, Tanzania Ni Nchi Ya Amani Sana, Tuidumishe Kwa kuwa na Ushabiki Wa Vyama na wanasiasa kwa Ustaarabu. #SoudyBrown (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CF7JP-ChlA1/?igshid=1k7lp4js8yd8t
0 notes
sw-islamkingdom · 4 years
Link
Hapana shaka kuwa Njia ya Furaha hapana budi kupita katika njia za elimu na ustaarabu, haiwezekani kwa hali yoyote kupita katika mabonde ya ujinga, na haipatikani dini wala fikra ambayo imenyanyua hadhi ya wanazuoni na kuheshimu miamala yao na kuhimiza kutafuta elimu na kuitumia akili na kulingania katika mazingatio na kufikiria kama mfano wa dini ya Uislamu aliokuja nao Mtume Muhammad
0 notes
divatheebawse · 5 years
Photo
Tumblr media
tujitahidi kuishi vizuri na watu sababu hakuna anaejua kesho yake ikoje. mitihani mingi sana Mungu kaumba .. hujui ataekuja kukusaidia kesho majivuno na dharau havitakufikisha popote kuna mtu alinikosea sana afu saa hii anahangaika sana na maisha yan memuonea hadi huruma inapita siku hajala yan akati alinikebehi sana na kunichafua sana akat nilimsaidia sana nikatenda wema na kwenda zangu ... so yan na mi nilikuwa namuangalia tu na kumdharau alipokuwa akiongea ubaya na kujitapa sababu nilikuwa najua maisha yake halisi ya kuunga unga ...ila nilipoona saa hii anasota mejifunza kwamba ... tuhifadhi akiba ya maneno jaman mana alivyokuwa anajishingondoa mi nilikuwa namnyali tu apparently hata hakunisumbua i jus said God n let God handle the rest ... and focus on ma shit n ma life ....God is Good so blessed n highly favored n im too happy with ma life. God is in control.. aliposema mabaya yote yeye na wenzie jaman wengine napishana nao tu nakusema uyu nae was one of them ... ila nilisamehe .. nilisamehe n i was like uyu najua maisha yake halisi na tabia zake za kupenda kuombaomba na anavyoungaunga hivyo i let it go easily like dat ... i kindly asked God to give me ustaarabu na kweli yakapita yan some people ni za kusamehe tu wallahy yan sasa anahangaika na Mungu nae anajua aisee Mungu Mkali mnaambiwa malipo ni hapa hapa duniani. mtoto wa watu i was too innocent wallahy Mungu wangu asante sana yan yakapita nikiwa msafi watu wakawa na mi for better for worse mjue instagram watu wana update status za maisha safi na kupiga ma photoshoot acting up having things handled but nyie watu wana hali mbaya sana behind the scene ...fake life akat njaa inauma Mungu Uyu .. ila mjue ukiwa shwaini kuna siku itaku cost afu watu wataogopa kukusaidia sababu wanakujua tabia zako za kutokuwa na shukran na kukosa utu na kujifanya class a kumbe z+ tujifunze guys this is jus life ... Mola awabarik sana apa mtoto Diva Nime CHILL n busy w selfies 😋 did thro a shade tho huh? haha kaa umo 🤣😂 https://www.instagram.com/p/B1RriS2FPiS/?igshid=1prbl5ptwjevi
0 notes
amrimasuma · 6 years
Video
Huu ni ushabiki wakishamba sana sio ustaarabu kabisa (at Tirima Enterprises Ltd)
0 notes
eventtoevent · 7 years
Photo
Tumblr media
"Situmii mwili, jazba na hasira, natumia akili, ustaarabu na subira, usingizi ndugu yake kifo sipendi kulala." - Langa #RIPLanga
0 notes
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
*Pasaka njema* 💦 *Ahadi ya Neolife ... Afya yako ndio utajiri wako mkuu* 💥 ✨ Jiunge nasi ... pata & dumisha afya yako bila kuathiri mali yako. https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E 💦 😀😇 Wasiliana Nami +254721360774 kwa taarifa zaidi. Tunawezesha dunia kuwa yenye afya njema na furaha...tunafanya kazi katika nchi 55 sasa kwa takriban miaka 65 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Your heath is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya #Residual income #Kipato endelezi #Part-time income #Kipato cha ziada #Flexible work #Kazi ya muda wa ziada #Remote work #Kazi ya kufanya ukiwa mbali #Profits are better than wages #Faida ni bora kuliko mshahara #Live large #Ishi kwa ustaarabu https://www.instagram.com/p/CquvcLQrsCT/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
jucelinoluzposts · 3 years
Text
Mwisho wa ubinadamu tayari umeamua juu ya mawe ya fahamu, sehemu ya 1
Mwisho wa ubinadamu tayari umeamua juu ya mawe ya fahamu, sehemu ya 1
Mwisho wa ubinadamu tayari umeamua juu ya mawe ya fahamu, sehemu ya 1 Inaweza hata kuepukwa na mageuzi ya kielimu na kwa utumiaji sahihi wa akili yake. Homo sapiens alionekana angalau miaka laki moja iliyopita, na ustaarabu, kwa upande wake, karibu miaka elfu chache iliyopita. Vipindi hivi ni vya muda mrefu sana kuliko maisha yetu madogo, na kwenye gala la miaka bilioni 14, ni ndogo kuliko hata…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Audio
Get Familiar 16 - Made In Kenya by Aspinz https://soundcloud.com/allanspinz/get-familiar-16-made-in-kenya Here More By This Artist At http://soundcloud.com/allanspinz
0 notes
islamkingdomfrench · 4 years
Photo
Tumblr media
VILINZI VYA NJIA YA FURAHA
unaweza kujua zaidi kuhusu:Ustaarabu wa imani na Tawhidi.Ustaarabu wa Kiislamu una vidhibiti bainifu na wasifu uliokuwa wazi ambao unatengeneza haiba ya mtu mkamilifu vidhibiti vyenye alama zenye kujitegemea na nyinginezo kwa misingi ya ustaarabu, malengo yake na misingi yake pamoja na kuwepo kiasi cha ushirikiano kati yake na tamaduni nyingine.
https://www.path-2-happiness.com/sw/vilinzi-vya-njia-ya-furaha
0 notes
sariaisrael · 9 years
Text
Misri wasitisha mechi za soka
Misri wasitisha mechi za soka
Mamlaka nchini Misri zimesitisha mechi za ligi ya soka baada ya vurugu zilizosababisha vifo vya washabiki zaidi ya 22 katika uwanja jijini Cairo. Washabiki walikufa na wengine kujeruhiwa kutokana na kugongana baada ya msongamano uliosababishwa na polisi kufyatua mabomu ya kutoza machozi dhidi ya washabiki wa Zamalek waliokuwa wanajaribu kuingia humo wakati wa mechi dhidi ya watani wao wa jadi…
View On WordPress
0 notes
derekmusisi · 1 year
Photo
Tumblr media
We celebrate our Brand-New Sapphire Director *AMINA HAJI* from *TANZANIA* for achieving a major milestone in our business opportunity. 4 years ago, you were struggling financially, now you have joined the awesome World Team level in our business. You had the option to do nothing & complain how hard life is, as most people in tough situations do *BUT* you choose to be part of this great opportunity, You worked your business diligently & this is why we are celebrating you today ... Hongera 🎂💥👏👏👏 Now a world of health, wealth & travel awaits you in the World Team 🌍🏃🏽‍♀️🌎🏃🏾🗺️💃!! https://shopneolife.com/050-6696582/ N🌿E🌿O🌿L🌿I🌿F🌿E DM +254721360774 for more information. Making the world healthier and happier…we are operating in 55 countries for the last 65 years 🏃🏽‍♀️🏃🏾💃!! #Healthy lifestyle #Maisha ya afya #Your heath is your greatest wealth #Afya yako ndio utajiri wako mkubwa #Empowerment #Uwezeshaji #Natural is healthy #Asili kwenye msingi ni afya #Residual income #Kipato endelezi #Part-time income #Kipato cha ziada #Flexible work #Kazi ya muda wa ziada #Remote work #Kazi ya kufanya ukiwa mbali #Profits are better than wages #Faida ni bora kuliko mshahara #Live large #Ishi kwa ustaarabu https://www.instagram.com/p/CqsaWb-INx2/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes