Njore alipopata Riba za recruitment ya KWS hakungoja hata siankiki apike Shai. Alirauka majogoo akawahi ofisini. Akasalimia afande na akajieleza. Afande: Masai una uhakika utawezana na hii kazi Maasai: ntio kabisa, Mimi enawesa kuchunka wanyama, ena eksripiens ya kuchunka ngompe Afande: Nini ingine itafanya nikupe hii kazi Maasai: Mimi na wanyama najuana kapsaa, Afande: kama unajua wanyama wote, Nitajie wanyama kumi unaowajua na kazi itawa yako . Maasai: wanyama kumi.....simba tatu na twiga saba Link: https://youtu.be/yiKRtfp8wXc #leteipatheking #leteiping #leteiped #teipastales #teipaslomon #teipassongs #teipassingolio #teipatheking #teipaslyrics #teipasthoughts #vampk254music #vampk254 #kaloitototheworld #gainwithxtiandela #gainwithbundi #gainwithmtaaraw #iamnairobian #gainwithmugweru #gainwithpaula #igerskenya #ignairobi #publicity254 #igkenya #madeinkenya #10over10 #gainwithwestandmugweru #gainwithkamenace #gainwithfinessengara #nairobi #kenyanmemes https://www.instagram.com/p/CYjKoUxsL9y/?utm_medium=tumblr
Tulielewana ni this year. Yaani before dec ifike nimake sure nimepata ule msee wetu . Mpaka hapo naeka tick, Sasa shida mi Niko nayo ni hii.Nimekuwa nikifanya revision ndo nisiwaletee Taliban akule pesa za studio ama nilete gangster flani aninyonge kasauti kaishe niache kiwaimbia. Kwa hii revision the more nasoma the more napotea. Pastor anasema anafaa kuwa mtu humble na anayemheshimu Mungu. Mathe anasema anafaa kuwa mtu anayewajibika anajua kupika na kufua Lecturer alinishow anafaa kuwa amesoma ndo ajue kuoperate machine za kisasa kwa nyumba Diamond naye anasema anafaa kuwa na shingo nyembamba na bonge la Ufa... Ma arif wanasema anafaa kuwa na Rangi ya thao na mwili rojorojo. Hizi description zote nikichanganya naona kama zinadecsribe kiumbe ambacho hakipatikani kwa ulimwengu huu. Na nikweli nimekubali ukiwa bachelor Hawa watu wanakauaga wengi Sana. Lakini siku Ile unaamua kuchagua ndo unanotice ni wachache hata inaeza bidi tuanze kushare .. Link: https://youtu.be/yiKRtfp8wXc #leteipatheking #leteiping #leteiped #teipastales #teipaslomon #teipassongs #teipassingolio #teipatheking #teipaslyrics #vampk254music #gainwithpaula #igerskenya #gainwithxtiandela #gainwithbundi #gainwithmtaaraw #iamnairobian #africa #gainwithmugweru #gainwithpaula #igerskenya #publicity254 #southafrica #igkenya #nairobikenya #madeinkenya #10over10 #gainwithwestandmugweru #tembeakenya #gainwithkamenace #gainwithfinessengara #igersnairobi #urbex https://www.instagram.com/p/CYpA7WMsMnI/?utm_medium=tumblr
Wakikuuliza maana ya mintaarafu, waambie wakachunguze tofauti Kati ya kitambi na mimba... #leteipatheking #vampk254music #vampk254 #teipatheking #TeipasLomon #TeipasLyrics #teipatales #leteiping #cooking #loading https://www.instagram.com/p/CNcrfm5lVQF/?igshid=6jm7hd73ugvb