Tumgik
#alwaysimjitambueforums
jitambueforumstv ยท 3 years
Photo
Tumblr media
#TECHLIFE JANA Siku ya Alhamis kampuni Maarufu ya Facebook , ilitangaza mabadiliko ya jina ili kuweza kukidhi maitaji ya kampuni hiyo kujikita katika ulimwengu wa Sayansi ya kufikirika. Wakati wa kutakagaza mabadiliko hayo, mumiliki wa kampuni hiyo #markzuckerberg aliweka wazi ya kwamba kwa sasa #Facebook itajulikana kama #Meta ambayo itakuwa ni kampuni mama wa makampuni mbali mbali ikiwepo #Instagram, #WhatsApp n.k . Hii ni kufuatia maamzi yao ya kutaka kujikita kwenye uvumbuzi wa kitechnology nje ya mitandao ya kijamii. Wakati mabadiliko haya yakitokea Tayari Mark Zuckerberg , siku kadhaa zilizopita alitangaza kuingiza sokoni Miwani ya #RayBan ambayo hiko Sokoni na bei yake halisi ni dollar za kimarekani $299 ambayo ni zaidi ya Laki Tano za Kitanzania. Chakushangaza katika miwani hii ni kwamba.. Inao uwezo wa kurecord video takribani 30, kupiga picha takribani 500, kupiga simu au kerecord kile unachokiona mbele ya macho yako na kukihusisha na simu yako. Hii miwani ni smart-glass ambayo inafanya kazi sambamba na Simu yako , na hii inakuhepusha kushika simu yako unapofanya shughuli yako , Miwani hii ya #RayBan ina camera, kitufe cha kuwasha na kuzima, speaker ambayo pamoja na yote ukuwezesha kusikiliza mziki na kushare experience ya kile unachokiona. Ukitembelea kwenye kurasa ya mumiliki huyu ya @zuck tayari Amerusha matukio ambayo yanaelezea ufanyaji kazi wa miwani hii. Kiufupi tukae tukijua #DuniaInaendakasi. Tukiwa tunakula umbea hapa nchini kwa wenzetu Dunia wanaichukulia kiutofauti, tushirikishane katika ulimwengu wa kibunifu. Endelea kufuatilia vipindi vyetu kupitia YouTube channel yetu. #jitambueforumstv @rayban @zuck #AlwaysImJitambueforums (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CVmsSjsr3L0/?utm_medium=tumblr
0 notes