#Shika neno uliyepewa Neema kubwa @siloamnetwok #The Pool of Siloam Church #Daemuma @kingdaemuma (at Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CnJbunAKPTW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Kwa Kweli MUNGU ana watu anajivunia,,na mimi ninahakika juu ya hili kuna namna kubwa sana Mungu anajivunia huyu mtumishi Wake @mkandamizaji kwa sababu madini aliyonayo hata kama ni mvuta bangi ataelewaa tu.. #Kuhani,Bishop na Mch.@mkandamizaji barikiwa mno na MUNGU unaye mtumikia azidi kukunyenyekesha vivyoo kwa utukufu wake,nimejifunza mengi... (at Jehova Jire TV Tanzania) https://www.instagram.com/p/CnAdDg3KLGG/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Imekua baraka kubwa mno #2023 mambo matano yaja @mabisatz na bro @bedaandrew moto utawakaa. https://www.instagram.com/p/Cm2q29aqQGA/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Ilikua Neema na Baraka kubwa kukutana na Mtumishi wa Mungu @japhetzabron_official mambo mazuri yaja @kingdaemuma https://www.instagram.com/p/Cm2poeNqyHO/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Leo sina mengi ya kuongea nafikiri mmenielewaa ...#2022 bye welcome #2023 (at Julias Nyerere International Airport) https://www.instagram.com/p/Cm1VrKeKh-W/?igshid=NGJjMDIxMWI=
@kingdaemuma na @gabriel_mboka bassist wa @dr_sarahkmusic waikumbuka hii bro? (at Kawe Tanganyika pekas) https://www.instagram.com/p/Cmb3Of4KpZb/?igshid=NGJjMDIxMWI=
#qatar ni leo wale wapenzi wa #fifa2022qatar🇶🇦 kumekucha miji yote @qatar na @qfa wanafuraha sana tujitahidi nasi @tanfootball tujekupata wenyeji huu..@kingdaemuma (at Qatar) https://www.instagram.com/p/ClLe19bKq-h/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Wakati MUNGU anaangalia Moyo wako sisi WAGALATIA tunaangalia mwonekano wako na tabia kwa ujumla,usimtwishe MUNGU mizigo ya mizimu ya kwenu. #Daemuma @kingdaemuma #shivomaster (at JKNIA) https://www.instagram.com/p/CkgLWiDKs1T/?igshid=NGJjMDIxMWI=