Tumgik
#rachelsiwa🙏🏽❤️
rachelsiwafan · 1 year
Photo
Tumblr media
“Beloved, I now write to you this second epistle (in both of which I stir up your pure minds by way of reminder), that you may be mindful of the words which were spoken before by the holy prophets, and of the commandment of us, the apostles of the Lord and Savior, knowing this first: that scoffers will come in the last days, walking according to their own lusts, and saying, “Where is the promise of His coming? For since the fathers fell asleep, all things continue as they were from the beginning of creation.” For this they willfully forget: that by the word of God the heavens were of old, and the earth standing out of water and in the water,” ‭‭II Peter‬ ‭3‬:‭1‬-‭5‬ ‭NKJV‬‬ “Wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. Katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya. Napenda mkumbuke maneno yaliyosemwa na manabii watakatifu, na ile amri ya Bwana na Mwokozi mliyopewa na mitume wenu. Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!” Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;” ‭‭2 Petro‬ ‭3‬:‭1‬-‭5‬ ‭BHND‬‬ #nenolajumapili #wordoftheday #biblia #bible #cupoftea #rachelsiwa🙏🏽❤️☕️ https://www.instagram.com/p/Co1-Mrit7aQ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
2 notes · View notes
rachelsiwafan · 1 year
Photo
Tumblr media
@heavenlydesserts 🥰 #dessert “Then a herald cried aloud: “To you it is commanded, O peoples, nations, and languages, that at the time you hear the sound of the horn, flute, harp, lyre, and psaltery, in symphony with all kinds of music, you shall fall down and worship the gold image that King Nebuchadnezzar has set up; and whoever does not fall down and worship shall be cast immediately into the midst of a burning fiery furnace.” So at that time, when all the people heard the sound of the horn, flute, harp, and lyre, in symphony with all kinds of music, all the people, nations, and languages fell down and worshiped the gold image which King Nebuchadnezzar had set up.” ‭‭Daniel‬ ‭3‬:‭4‬-‭7‬ ‭NKJV‬‬ 4 Mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote, mnaamriwa kwamba 5 mkisikia sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, lazima mwiname chini na kuiabudu sanamu ya dhahabu aliyosimamisha mfalme Nebukadneza. 6 Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali.” 7 Kwa hiyo, watu wote, mara waliposikia sauti za baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, walianguka kifudifudi na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu ambayo mfalme Nebukadneza aliisimamisha. (‭‭‭Danieli‬ ‭3‬‬:‭4‬-‭7‬ ‭BHND‬‬) #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration #shalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 # chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CkTItVqNjUK/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Good morning 🇹🇿🇬🇧🌏#cupoftea☕️ “Nebuchadnezzar the king made an image of gold, whose height was sixty cubits and its width six cubits. He set it up in the plain of Dura, in the province of Babylon. And King Nebuchadnezzar sent word to gather together the satraps, the administrators, the governors, the counselors, the treasurers, the judges, the magistrates, and all the officials of the provinces, to come to the dedication of the image which King Nebuchadnezzar had set up. So the satraps, the administrators, the governors, the counselors, the treasurers, the judges, the magistrates, and all the officials of the provinces gathered together for the dedication of the image that King Nebuchadnezzar had set up; and they stood before the image that Nebuchadnezzar had set up.” ‭‭Daniel‬ ‭3‬:‭1‬-‭3‬ ‭NKJV‬‬ “Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo mita ishirini na nane na upana mita tatu. Aliisimamisha katika sehemu tambarare ya Dura, mkoani Babuloni. Kisha mfalme akaamuru maliwali, wasimamizi, wakuu wa mikoa, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na maofisa wote wa mikoa wahudhurie sherehe ya kuzindua rasmi sanamu aliyoisimamisha. Basi, maliwali, wasimamizi, wakuu wa mikoa, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na maofisa wote wa mikoa wakakusanyika tayari kwa uzinduzi wa sanamu aliyosimamisha mfalme Nebukadneza.” ‭‭Danieli‬ ‭3‬:‭1‬-‭3‬ ‭BHND‬‬ #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration #shalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 # chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CkIZ6A-tacs/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Kifungua Kinywa/Breakfast Smoothie “Daima tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, wakati tunapowaombea. Maana tumesikia juu ya imani yenu kwa Kristo Yesu na juu ya mapendo yenu kwa watu wote wa Mungu. Imani yenu na mapendo yenu vina msingi katika tumaini mlilowekewa mbinguni. Mlipata kusikia juu ya hilo tumaini mara ya kwanza wakati mlipohubiriwa ule ujumbe wa ukweli wa Habari Njema. Injili inazidi kuzaa matunda na kuenea ulimwenguni kote kama vile ilivyofanya kwenu nyinyi tangu siku ile mliposikia juu ya neema ya Mungu na kuitambua ilivyo kweli.” ‭‭Wakolosai‬ ‭1:3-6‬ ‭BHND‬‬ “We give thanks to the God and Father of our Lord Jesus Christ, praying always for you, since we heard of your faith in Christ Jesus and of your love for all the saints; because of the hope which is laid up for you in heaven, of which you heard before in the word of the truth of the gospel, which has come to you, as it has also in all the world, and is bringing forth fruit, as it is also among you since the day you heard and knew the grace of God in truth;” ‭‭Colossians‬ ‭1:3-6‬ ‭NKJV‬‬ #Jikoni #Chai/tea #juice #smoothie #breakfastideas #breakfast @kenwoodworld @tescofood @rahelfood @rahelchai #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/Cbcjh_YN-fI/?utm_medium=tumblr
4 notes · View notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Cup Of tea Jikoni Leo Maboga/boga ya kuchemsha na chai pumpkin 🎃 18 Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. 19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao. 20 Enyi watoto, watiini wazazi wenu daima maana hiyo humpendeza Bwana. 21 Nanyi wazazi, msiwachukize watoto wenu, la sivyo watakata tamaa. (‭‭Wakolosai‬ ‭3‬‬:‭18-21‬ BHND) “Wives, submit to your own husbands, as is fitting in the Lord. Husbands, love your wives and do not be bitter toward them. Children, obey your parents in all things, for this is well pleasing to the Lord. Fathers, do not provoke your children, lest they become discouraged.” ‭‭Colossians‬ ‭3:18-21‬ ‭NKJV‬‬ #Chai #maboga #cupoftea #boiledpumpkin #pumpkin #tanzaniafoodfestivaluk @rahelfoodproducts @rahelfoods @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CcAY6FCtju6/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa OATS : 🙏🏽🇹🇿 🇬🇧Kitchen today Porridge #Ujiwaoats #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge 11 Katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya Mgiriki na Myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. Kristo ni kila kitu, na yumo katika yote. 12 Nyinyi ni watu wake Mungu; yeye aliwapenda na kuwateua. Kwa hiyo, basi, vaeni moyo wa huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu. 13 Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi. 14 Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo, kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili. 15 Nayo amani ya Kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo nyinyi mmeitwa katika mwili huo mmoja. Tena muwe na shukrani! 16 Ujumbe wa Kristo na ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. Fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. Imbeni Zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni Mungu mioyoni mwenu kwa shukrani. 17 Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake. (‭‭Wakolosai‬ ‭3‬‬:‭11-17‬ BHND) “where there is neither Greek nor Jew, circumcised nor uncircumcised, barbarian, Scythian, slave nor free, but Christ is all and in all. Therefore, as the elect of God, holy and beloved, put on tender mercies, kindness, humility, meekness, longsuffering; bearing with one another, and forgiving one another, if anyone has a complaint against another; even as Christ forgave you, so you also must do. But above all these things put on love, which is the bond of perfection. And let the peace of God rule in your hearts, to which also you were called in one body; and be thankful. Let the word of Christ dwell in you richly in all wisdom, teaching and admonishing one another in psalms and hymns and spiritual songs, singing with grace in your hearts to the Lord. And whatever you do in word or deed, do all in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God the Father through Him.” ‭‭Colossians‬ ‭3:11-17‬ ‭NKJV‬‬ @rahelfoodproducts #tanzaniafoodfestivaluk #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/Cb9w96Rtou4/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Kifungua Kinywa/Breakfast Smoothie 5 Basi, ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho ni cha kidunia: Uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu). 6 Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi. 7 Wakati mmoja nyinyi pia mliishi kufuatana na mambo hayo, mlipotawaliwa nayo. 8 Lakini sasa mnapaswa kuachana na mambo haya yote: Hasira, tamaa na uovu; kufuru au maneno yasiyofaa yasitoke kamwe vinywani mwenu. 9 Msiambiane uongo, kwani nyinyi mmekwisha vua ule utu wa kale pamoja na matendo yake yote, 10 mkavaa utu mpya. Huu unaendelea kurekebishwa na Mungu, Muumba wake, kadiri ya mfano wake, ili mpate kumjua Mungu kwa ukamilifu. (‭‭Wakolosai‬ ‭3‬‬:‭5-10‬ BHND) “Therefore put to death your members which are on the earth: fornication, uncleanness, passion, evil desire, and covetousness, which is idolatry. Because of these things the wrath of God is coming upon the sons of disobedience, in which you yourselves once walked when you lived in them. But now you yourselves are to put off all these: anger, wrath, malice, blasphemy, filthy language out of your mouth. Do not lie to one another, since you have put off the old man with his deeds, and have put on the new man who is renewed in knowledge according to the image of Him who created him,” ‭‭Colossians‬ ‭3:5-10‬ ‭NKJV‬‬ #Jikoni #Chai/tea #smoothie #breakfastideas #breakfast #tanzaniafoodfestivaluk @kenwoodworld @tescofood @rahelfood @rahelfoodproducts #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/Cb7IKvGt4w9/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Chips Mayai Chips and Eggs 🍳 24 Na sasa nafurahi kuteseka kwa ajili yenu, maana kwa mateso yangu hapa duniani, nasaidia kukamilisha kile kilichopungua bado katika mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, yaani kanisa. 25 Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake, 26 ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake. (‭‭Wakolosai‬ ‭1‬‬:‭24-26‬ BHND) “I now rejoice in my sufferings for you, and fill up in my flesh what is lacking in the afflictions of Christ, for the sake of His body, which is the church, of which I became a minister according to the stewardship from God which was given to me for you, to fulfill the word of God, the mystery which has been hidden from ages and from generations, but now has been revealed to His saints.” ‭‭Colossians‬ ‭1:24-26‬ ‭NKJV‬‬ #chipsmayai #omellete #cupoftea #chips #potatoes #tanzaniafoodfestivaluk @rahelchai @rahelfoods @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CbuXEnqtAoE/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Kifungua Kinywa/Breakfast Smoothie 15 Kristo ni mfano wa Mungu asiyeonekana; ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. 16 Maana kwake vitu vyote viliumbwa kila kitu duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: Wenye enzi, watawala, wakuu na wenye nguvu. Vyote viliumbwa kwake na kwa ajili yake. 17 Yeye alikuwako kabla ya vitu vyote; vyote huendelea kuwako kwa uwezo wake. 18 Yeye ni kichwa cha mwili wake, yaani kanisa; yeye ni chanzo cha uhai wa huo mwili. Yeye ndiye mwanzo, mzaliwa wa kwanza aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, ili awe na nafasi ya kwanza katika vitu vyote. 19 Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake. 20 Kwake vitu vyote vilipatanishwa na Mungu: Na kwa damu yake msalabani akafanya amani na vitu vyote duniani na mbinguni. (‭‭Wakolosai‬ ‭1‬‬:‭15-20‬ BHND) “He is the image of the invisible God, the firstborn over all creation. For by Him all things were created that are in heaven and that are on earth, visible and invisible, whether thrones or dominions or principalities or powers. All things were created through Him and for Him. And He is before all things, and in Him all things consist. And He is the head of the body, the church, who is the beginning, the firstborn from the dead, that in all things He may have the preeminence. For it pleased the Father that in Him all the fullness should dwell, and by Him to reconcile all things to Himself, by Him, whether things on earth or things in heaven, having made peace through the blood of His cross.” ‭‭Colossians‬ ‭1:15-20‬ ‭NKJV‬‬ #Jikoni #Chai/tea #smoothie #breakfastideas #breakfast #tanzaniafoodfestivaluk @kenwoodworld @tescofood @rahelfood @rahelchai #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CbpKrePtjGS/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Viazi ,Nyama kuchemsha (supu) Meat and Potatoes 😋🇹🇿 11 Mungu awajalieni nguvu kwa uwezo wake mtukufu ili muweze kustahimili kila kitu kwa uvumilivu. 12 Na kwa furaha mshukuruni Baba, aliyewawezesha nyinyi kuwa na sehemu yenu katika mambo yale aliyowawekea watu wake katika ufalme wa mwanga. 13 Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi. 14 Kwake yeye tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa. (‭‭Wakolosai‬ ‭1‬‬:‭11-14‬ BHND) “strengthened with all might, according to His glorious power, for all patience and longsuffering with joy; giving thanks to the Father who has qualified us to be partakers of the inheritance of the saints in the light. He has delivered us from the power of darkness and conveyed us into the kingdom of the Son of His love, in whom we have redemption through His blood, the forgiveness of sins.” ‭‭Colossians‬ ‭1:11-14‬ ‭NKJV‬‬ #stew #supu #cupoftea #soup #potatoes #tanzaniafoodfestivaluk @rahelchai @rahelfoods @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians1 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/Cbhqcd3tOCY/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo ☕️ “In Him you were also circumcised with the circumcision made without hands, by putting off the body of the sins of the flesh, by the circumcision of Christ, buried with Him in baptism, in which you also were raised with Him through faith in the working of God, who raised Him from the dead. And you, being dead in your trespasses and the uncircumcision of your flesh, He has made alive together with Him, having forgiven you all trespasses, having wiped out the handwriting of requirements that was against us, which was contrary to us. And He has taken it out of the way, having nailed it to the cross. Having disarmed principalities and powers, He made a public spectacle of them, triumphing over them in it. So let no one judge you in food or in drink, or regarding a festival or a new moon or sabbaths, which are a shadow of things to come, but the substance is of Christ. Let no one cheat you of your reward, taking delight in false humility and worship of angels, intruding into those things which he has not seen, vainly puffed up by his fleshly mind, and not holding fast to the Head, from whom all the body, nourished and knit together by joints and ligaments, grows with the increase that is from God. Therefore, if you died with Christ from the basic principles of the world, why, as though living in the world, do you subject yourselves to regulations— “Do not touch, do not taste, do not handle,” which all concern things which perish with the using—according to the commandments and doctrines of men? These things indeed have an appearance of wisdom in self-imposed religion, false humility, and neglect of the body, but are of no value against the indulgence of the flesh.” ‭‭Colossians‬ ‭2:11-23‬ ‭NKJV‬‬ #kitchentoday #food #cupoftea #cake #homebaked #chai @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians 2#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CbXEfrOth9n/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Fenesi 😋 “For I want you to know what a great conflict I have for you and those in Laodicea, and for as many as have not seen my face in the flesh, that their hearts may be encouraged, being knit together in love, and attaining to all riches of the full assurance of understanding, to the knowledge of the mystery of God, both of the Father and of Christ, in whom are hidden all the treasures of wisdom and knowledge. Now this I say lest anyone should deceive you with persuasive words. For though I am absent in the flesh, yet I am with you in spirit, rejoicing to see your good order and the steadfastness of your faith in Christ. As you therefore have received Christ Jesus the Lord, so walk in Him, rooted and built up in Him and established in the faith, as you have been taught, abounding in it with thanksgiving. Beware lest anyone cheat you through philosophy and empty deceit, according to the tradition of men, according to the basic principles of the world, and not according to Christ. For in Him dwells all the fullness of the Godhead bodily; and you are complete in Him, who is the head of all principality and power.” ‭‭Colossians‬ ‭2:1-10‬ ‭NKJV‬‬ #kitchentoday #food #fenesi #fruits #matunda #jackfruit @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians 2#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CbSl3ewtlJH/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Fenesi 😋 “For I want you to know what a great conflict I have for you and those in Laodicea, and for as many as have not seen my face in the flesh, that their hearts may be encouraged, being knit together in love, and attaining to all riches of the full assurance of understanding, to the knowledge of the mystery of God, both of the Father and of Christ, in whom are hidden all the treasures of wisdom and knowledge. Now this I say lest anyone should deceive you with persuasive words. For though I am absent in the flesh, yet I am with you in spirit, rejoicing to see your good order and the steadfastness of your faith in Christ. As you therefore have received Christ Jesus the Lord, so walk in Him, rooted and built up in Him and established in the faith, as you have been taught, abounding in it with thanksgiving. Beware lest anyone cheat you through philosophy and empty deceit, according to the tradition of men, according to the basic principles of the world, and not according to Christ. For in Him dwells all the fullness of the Godhead bodily; and you are complete in Him, who is the head of all principality and power.” ‭‭Colossians‬ ‭2:1-10‬ ‭NKJV‬‬ #kitchentoday #food #fenesi #fruits #matunda #jackfruit @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#colossians 2#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CbSl3ewtlJH/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Embe😋😜 kitchen Today mango tupumzike kula😊 “Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini walioumbwa na Mwenyezi-Mungu. Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?” Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’” Nyoka akamwambia mwanamke, “Hamtakufa! Mungu alisema hivyo kwa sababu anajua kwamba mkila matunda ya mti huo mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.”” ‭‭Mwanzo‬ ‭3:1-5‬ ‭BHN‬‬ “Now the serpent was more cunning than any beast of the field which the Lord God had made. And he said to the woman, “Has God indeed said, ‘You shall not eat of every tree of the garden’?” And the woman said to the serpent, “We may eat the fruit of the trees of the garden; but of the fruit of the tree which is in the midst of the garden, God has said, ‘You shall not eat it, nor shall you touch it, lest you die.’ ” Then the serpent said to the woman, “You will not surely die. For God knows that in the day you eat of it your eyes will be opened, and you will be like God, knowing good and evil.”” ‭‭Genesis‬ ‭3:1-5‬ ‭NKJV‬‬ #kitchentoday #food #snacks #fruits #matunda #mango @tescofood #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#mwanzo3 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CZzTHPMtBH1/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo dryfruits tupumzike kula😊 Hivi hapo utakula zote au utachagua? Utasindikiza na kinywaji gani? Neno la Usiku🙏🏽❤️ 4 Ninamshukuru Mungu wangu daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia nyinyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu. 5 Maana, kwa kuungana na Kristo mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri. 6 Maana ujumbe juu ya Kristo umethibitishwa ndani yenu, 7 hata hampungukiwi kipaji chochote cha kiroho mkiwa mnangojea kufunuliwa kwake Bwana wetu Yesu Kristo. 8 Yeye atawaimarisheni nyinyi mpaka mwisho mpate kuonekana bila hatia siku ile ya Bwana wetu Yesu Kristo. 9 Mungu ni mwaminifu; yeye aliwaita nyinyi muwe na umoja na Mwanae Yesu Kristo Bwana wetu. (‭‭1 Wakorintho‬ ‭1‬‬:‭4-9‬ BHN) #kitchentoday #food #snacks #dryfruits #matunda #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#1wakorintho #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #usikumwema#chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CWrAQIZt2pu/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni mtaani @rodiziorico_cov #samesame🤣🇹🇿🇬🇧 “Basi, nasema hivi: Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe. Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria. Basi, matendo ya kidunia yanajulikana: Uzinzi, uasherati, ufisadi; kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano; husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine kama hayo. Nawaambieni tena kama nilivyokwisha sema: Watu wanaotenda mambo hayo hawataupata ufalme wa Mungu uwe wao. Lakini matokeo ya kuongozwa na Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu, upole na kiasi. Hakuna sheria inayoweza kupinga mambo hayo. Wale walio na Kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake. Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu.” ‭‭Wagalatia‬ ‭5:16-26‬ ‭BHN‬‬ #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration#beblessedShalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#galatians5 #barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 #asubuhinjema#chai#Coventry🇬🇧#lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CWDUAUktgE4/?utm_medium=tumblr
0 notes