Tumgik
#babadupdates
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Katibu Mkuu wa Coastal Union, Omar A.S Ayoub akimtambulisha kocha Yusuf Chipo ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa timu yetu. Comment LikePage Share #BABADUPDATES https://www.instagram.com/p/CicRdLVKx1m/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
babadupdates · 2 years
Photo
Tumblr media
MBUNGE SALIM ALMAS ASHUSHA TREKTA 3 ZENYE THAMANI YA MIL 150 KWAAJILI YA KILIMO,WANANCHI KICHEKO Mbunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amekabidhi matrekta matatu yenye thamani ya shilingi Milioni 150 kwaajili ya kuwasaidia wananchi kipindi hiki cha kilimo. Akizungumza wakati wa kukabidhi matrekta hayo Amesema hiyo ni moja ya ahadi yake aliyoiahidi wakati wa kampeni za uchaguzi wakati akiomba kura hivyo ameona afanye haraka kwani anajua uhitaji wa matrekta katika jimbo lake ni mkubwa. Aidha Mbunge Salim amewatoa hofu wananchi juu ya Taratibu za upatikanaji wa matrekta hayo kwakuwahakikishia kuwa hayatakuwa na upendeleo wowote bali kila mwenye uhitaji atakaye toa taarifa katika ofisi yake basi atapatiwa kwa utaratibu maalum. Mbunge Salim Alaudin ameongeza kuwa bado matrekta mengine yanaendelea kuja hivyo ni vyema wananchi wakayatunza haya matatu ili yatakapo kuja mengine yaweze kuwasadia wananchi kwa haraka na kuwawezesha kulima kisasa zaidi. Wananchi wa Wilaya ya Ulanga kwa asilimia 80 wanategemea kilimo kwaajili ya kujiendesha kimaisha hivyo upatikanaji wa trekta hizo utawawezesha kulima kwa tija nankuwaletea manufaa makubwa bila kuwa na changamoto kubwa. #BabadUpdates (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CWh54jCKRf6/?utm_medium=tumblr
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
TAKWAMU: Ilikuwa mwaka 2014 kwa mara ya mwisho mchezaji kutoka ligi kuu Tanzania bara kufunga hart trik katika michuano ya CAF CL, Alikuwa Mrisho Halfan Ngasa mwaka 2014 alipokuwa Yanga akiwafunga Comorosine ya Comoro, kabla ya jana Fiston Kalala Mayele kufunga tena hart trik. Comment LikePage Share #BABADUPDATES https://www.instagram.com/p/CiWoto1KjFg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
TAKWAMU: Ilikuwa mwaka 2014 kwa mara ya mwisho mchezaji kutoka ligi kuu Tanzania bara kufunga hart trik katika michuano ya CAF CL, Alikuwa Mrisho Halfan Ngasa mwaka 2014 alipokuwa Yanga akiwafunga Comorosine ya Comoro, kabla ya jana Fiston Kalala Mayele kufunga tena hart trik. Comment LikePage Share #BABADUPDATES https://www.instagram.com/p/CiWooCPjNUl/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
➪Ni kawaida sana Makocha wazawa Kukumbana na Kejeli na Dharau kutoka kwa watu weusi wenzao ➪Ambao wanaamini Kocha lazima awe mweupe au Mzungu ➪Kinacho mkuta Juma Mgunda kilimluta Aliou Cissé Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal 🇸🇳 ➪Leo anakombe la AFCON na Kafudhu World Cup Je Kwa mtazamo wako Kocha Mgunda Amefanikiwa kuibadilisha simba sc ? Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CiWlLm_q07p/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
➪Ni kawaida sana Makocha wazawa Kukumbana na Kejeli na Dharau kutoka kwa watu weusi wenzao ➪Ambao wanaamini Kocha lazima awe mweupe au Mzungu ➪Kinacho mkuta Juma Mgunda kilimluta Aliou Cissé Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal 🇸🇳 ➪Leo anakombe la AFCON na Kafudhu World Cup Je Kwa mtazamo wako Kocha Mgunda Amefanikiwa kuibadilisha simba sc ? Comment LikePage Share #BABADUPDATES https://www.instagram.com/p/CiWlETijpHT/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
#FAHAMU Mara ya mwisho Malkia Elizabeth II kuonekana hadharani kwa mwaka huu kabla ya umauti kumkuta ilikuwa ni Septemba 6 ambapo alikutana na Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Liz Truss. Mkutano huo ulifanyika nyumbani kwa Malkia Elizabeth II nchini Scotland, ambapo Malkia alipiga picha peke yake kabla ya kukutana na Waziri Mkuu, na pia alipigwa picha baada ya kukutana na Waziri Mkuu wakati wanasalimiana. Picha hizo zilipigwa na mwandishi wa habari, Jane Barlow ambaye alichaguliwa kwa ajili ya kupiga picha katika mkutano huo, na hizo ndiyo picha za mwisho za Malkia. Comment LikePage Share #LizTruss #MalkiaElizabeth #BABADUPDATES (at London, United Kingdom) https://www.instagram.com/p/CiUfSyeqIM9/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
NIPO TAYARI KUANZA KAZI - MGUMBA. Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Omary Mgumba amesema yupo tayari kuanza kazi baada ya kuhitimisha ziara ya kujitambulisha kwa Wilaya na Halmashauri za mkoa wa Tanga. Mgumba ameyasema hayo alhamisi Septemba 8, 2022 wakati akihutubia Mkutano Maalum wa Baraza la Madiwani la Jiji la Tanga uliokuwa na lengo la kujitambulisha kwa Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Jiji, ikiwa ni kituo cha mwisho cha ziara yake. Akihutubia mkutano huo, Mgumba amelipongeza Jiji la Tanga kwa kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato na kuongoza majiji mengine hapa nchini katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kukusanya mapato kwa asilimia 113 ya lengo la mwaka. Mgumba amesema dhana ya ugatuaji madaraka inataka Halmashauri kujikusanyia mapato na kutoka kwenye utegemezi wa kusubiri fedha kutoka Serikali Kuu. Amesema Halmashauri zinapaswa kuondoka kwenye mazoea ya ujenzi wa madarasa, vyoo na vituo vya afya pekee, na kuanza kufikiri kuwa na miradi ya kiuchumi itakayo kuwa chanzo cha mapato badala ya kusubiri kukusanya ushuru pekee kwa wananchi. "Mapato ni kipaumbele cha pili baada ya usalama. Na mapato haya yaende kutatua shida za wananchi. Mtu asijaribu kucheza na fedha hizi, Mheshimiwa Rais amekwisha sema, ukitaka kujua rangi yake, basi chezea fedha hizi." Amesema Mgumba. Mheshimiwa Mgumba ambaye aliongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, aliwataka Madiwani kuhakikisha kunakuwa na msawazo/mtawanyo wa fedha za utekelezaji wa miradi ili kila kata ipate mradi kwa maendeleo ya wananchi, badala ya miradi mingi na mikubwa kuwekwa katika kata moja, huku akishauri utengaji wa fedha uwe wa kutosha kukamilisha mradi ili kuwezesha huduma kutolewa kwa wananchi. Awali, akiwasilisha taarifa ya Jiji la Tanga kwa Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi wa Jiji Ndg. Sipora Liana amesema kwa mwaka wa fedha 2021/2022 unaoishia mwezi Juni 2022, Halmashauri imefanikiwa kupeleka katika miradi mbalimbali ya maendeleo zaidi ya shillingi billion 6.6 ikiwa ni katika utekelezaji wa utoaji wa asilimia 60 ya mapato ya ndani. Comment Like Follow @babadailysuperstar89.c.e.o #BABADUPDATES https://www.instagram.com/p/CiRsZSAqr6_/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Kama unazura sana mitaa ya jiji la tanga leo niambie hii picha imepigwa mitaa ya wapi apa mjini ? Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Maua Inn) https://www.instagram.com/p/CiNacjtqfAq/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Klabu ya Simba imevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi hicho Zoran Maki. Taarifa iliyotolewa na Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez imesema, Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili na pia wamesitisha mkataba na kocha wa viungo Sbai Karim pamoja na Kocha wa Makipa Mohammed Rachid. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kocha Msaidizi Selemani Matola na tayari mchakato wa kumtafuta kocha mpya umeanza. Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CiKfJwsqBzJ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Klabu ya Simba imevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi hicho Zoran Maki. Taarifa iliyotolewa na Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez imesema, Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili na pia wamesitisha mkataba na kocha wa viungo Sbai Karim pamoja na Kocha wa Makipa Mohammed Rachid. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kocha Msaidizi Selemani Matola na tayari mchakato wa kumtafuta kocha mpya umeanza. Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CiKe-2WMEK3/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amesema kutokana na Refa wa pambano la jana kuwa ‘unfair’ kwake, Promota Benjamin Shalom amekubali pambano hilo lirudiwe January 23 2023 vs Liam Smith. Usiku wa Septemba 3 2022 Mwakinyo katika pambano dhidi ya Muingereza Liam Smith lililochezwa jijini Liverpool England alipoteza kwa TKO round ya 4 katika pambano la round 12 ambalo hata hivyo lilikuwa gumzo kutokana na jinsi lilivyomalizika kwa utata. "kutokana na mchezo wa jana na kitendo cha Refa kuwa unfair kwangu kimemlazimu Promoter Benj Shalom kutupa nafasi ya re-match na Liam January 23" ——— ameandika Mwakinyo. Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at London, United Kingdom) https://www.instagram.com/p/CiHN6VSK06C/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Full Time: Uganda 3-0 Tanzania (Waiswa 16’P Basangwa 54’ Mato 76’) (agg 4-0) Tanzania imeondolewa katika mbio za kuwania kufuzu CHAN Comment LikePage Share #CHANQ #BABADUPDATES (at Uganda, East Africa) https://www.instagram.com/p/CiDKS4UKu4o/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Mstali wa Mbele kuanzia kushoto ni Salmin Amour,Ali Mzee Ali,Hassan Nassoro Moyo,Edward Moringe Sokoine,Aboud Jumbe,Juias Kambarage Nyerere,Rashidi Mfaume Kawawa,Cleopa Msuya na Kingunge Ngombale Mwiru, Mstari wa Nyuma ni Abdalla Said Natepe,Salimu Ahamed Salimu,Getruda Mongera,Seif Sharif Hamad, Paul Sozigwa,Daudi Mwakawago,Moses Nnauye na Alfred Tandau..Wazee wetu hawa walilitumikia Taifa hili wakati huo likiwa Changa kabisa Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanganyika) https://www.instagram.com/p/Ch83JWnKwtm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
KWANI YANGA SC HAYA MAMBO YA USIKU MWINGI BADO MNAYO MPAKA LEO? Comment LikePage Share #BABADUPDATES https://www.instagram.com/p/Ch7MpNQqdcd/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
🎙 MMEMSIKIA PAWASA: OUATTARA NI MTU NA NUSU . “Ujue watu wanashindwa kuelewa kuwa Inonga na Onyango wana aina moja ya uchezaji na wote ni wazuri kwa kufanya makini na mikiki mikiki uwanjani. Ouattara yeye ni mtu wa mwisho ambaye ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi na kuituliza timu yaani beki huyu anacheza kama namba tano halisi, halafu pia ni mtulivu sana uwanjani, ” .. “Sasa hapo hakuna jinsi kati ya Inonga na Onyango kwa sasa lazima mmoja aanzie bechi tu na mwingine acheze na Ouattara kwani huwezi kuwapanga Onyango na Inonga kwa pamoja ni sana na kumpanga mtu mmoja katika nafasi mbili tofauti kama ilivyokuwa msimu uliopita.” - amesema Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa. . WANASIMBA hapo vipi …!! Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Ch4qYEXqLPB/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes