Tumgik
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
CWT SERENGETI YATOA BAISKELI KWA WALIMU WENYE ULEMAVU Chama cha walimu Tanzania Wilayani Serengeti kimetoa  Baiskeli 5 zenye thamani ya Tsh 975,000/=kwa baadhi ya walimu wenye ulemavu  ili ziwasaidie katika kutelekeza majukumu yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na kuwai kufika katika vituo vyao vya kazi. . https://www.instagram.com/p/Cmq171AtbsP/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
Hongera Mwl.@issajakala kwa Kuendeleza zoezi la unandikishaji #Reposted *🇹🇿UANDIKISHAJI🇹🇿* Leo Tarehe 26/12/2022. Mwl. Issa Jakala Nimeendelea na Zoezi la Uandikishaji Wanafunzi Tarajali wa Darasa la Awali na Darasa la Kwanza Kwa Mwaka wa Masomo 2023 Katika Kitongoji Cha Kobesisi Kijiji Cha Borenga Kata ya Kisaka Kwa Kuzingatia Maelekezo yaliyotolewa na Idara ya Elimu Lakini Pia Msisitizo wa Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Kuhusiana na Kumalizika Kwa Zoezi Mapema Kabla ya Kupinduka Mwaka Ili Kufikia Maazimio na Malengo Tajwa ya Serikali. Nimeendelea Kuibua Changamoto na Mawazo Mapya Pamoja na Kutoa Elimu Kwa Wanajamii Kuhusiana na Mpango wa Elimu Bure Inayotolewa na Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja na Namna ya Kufikia Fursa Mbalimbali Zitolewazo na Serikali Pamoja na Taasisi/ Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Ktk Kutokomeza Adui Ujinga Pamoja na Umasikini. Sensa Hii Imenisaidia Kuleta Chachu ya Wananchi Kuhamasika na Kutoa Ushirikiano wa Kutosha Lakini Pia Kuthamini Mchango wa Serikali Kadri Inavyojitahidi Kuboresha Huduma za Kijamii Wilayani Serengeti Ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme Vijijini na Utengenezaji Miundombinu Mfano Madaraja na Ulimaji Barabara Vijijini Unaorahisisha shughuli za Usafirishaji na Biashara ktk Kufikia Huduma Imesaidia Kupunguza Nauli Pamoja na Bei za Bidhaa ya Kutoka Sehemu ya Uzalishaji/Mchuuzi Hadi Kwa Mtumiaji wa Mwisho. Aidha Nimshukuru Sana Mwenyekiti wa Kitongoji Cha Kobesisi Kwa Ushirikiano Alionipa. Ahsante Imetolewa na : Mwl. Issa Jakala Mjumbe Kamati ya Utekelezaji Umoja wa Vijana Wilaya ya Serengeti. (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/CmpRMdGNPZV/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
RAIS SAMIA ATOA ZAWADI  ZA KRISMASI KWA WATOTO WA HOPE FOR GIRLS AND WOMEN WILAYANI SERENGETI   Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dkt.Samia Suluhu Hassani ametoa zawadi za chakula kwa ajili ya sikukuu  ya Krismasi kwa Shirika la Hope for girls and women in Tanzania  lilipo wilayani Serengeti Mkoa wa Mara,likiwa ni Miongoni mwa shirika   yanayopambana dhidi ya vitendo vya  Ukatili na unyanyasi wa Kijinsia.  Akikabidhi  Zawadi hizo kwa niaba ya  Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleimani Mzee, Mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent Mashinji amemshukuru Rais Samia  kwa kutoa zawadi hizo za chakula  katika wilaya ya Serengeti  katika  kituo cha hope. Dkt.Mashinji amekipongeza kituo hicho  salama kwa juhudi kubwa ya kuwalea watoto waliokimbia vitendo vya ukeketaji  na ukatili wa kinjisia ,amewataka viongozi wa kisiasa kuwa mstari wa mbele kukemea vitendo hivyo . Aidha,Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Serengeti Ndg.Gasper  Irigo ameungana na viongozi wengine Kumshukuru  Rais samia na kuahidi kushirikiana kwa ukaribu na vituo vyote vinavyolelea watoto yatima,wenye mazingira magumu na waliokimbia vitendo vya ukatili  na unyanyasi. Nae, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ameitaka jamii kwatunza  watoto  ili waweze kutimiza ndoto zao na  kuiomba serikali kuzidi kupambana  na wote wanaofanya vitendo vya kikatili na vya unyanyasi wa kijinsia hatua kali ziendelee kuchukuliwa dhidi yao. Kwa upande wa Mkurugenzi wa kituo hicho Rhobi Samweli amemshukuru  Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dkt.Samia Suluhu Hassani kwa zawadi kubwa ya chakula kwa ajili ya watoto wa kituo hicho wapatao 90 waliokimbia  na kukutwa na matukio mbalimbali yakiwemo ukeketaji,vipigo,ndoa za utotoni,ubakaji na manyayaso na ameiomba serikali kuzidi kuwashika Mkono na kutunga sharia kali za kumlinda mtoto wa kike.   Huu ni Muendeleo wa Rais samia kuwagusa watoto wote  nchini Tanzania wenye mahitaji ya chakula katika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa tarehe 25 disemba  2022 duniani  kote.  @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano   https://www.instagram.com/p/CmmNSkoNiJg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄 *HERI YA SIKUKUU YA CHRISTMAS KUTOKA KWA DED SERENGETI Mhe. AYUB MAKURUMA #SerengetiDc #kaziiendelee https://www.instagram.com/p/CmkC0GAtqPh/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
BOOST Wajumbe wa Timu za utekelezaji wa Mradi wa BOOST ngazi za mikoa na Halmashauri wakiwa katika ukumbi wa chuo cha ualimu Butimba Jiji Mwanza, Tayari kwa Ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo,yaliyofanyika kwa muda wa siku Mbili.Ambapo Wataalamu kutoka halmashauri ya wilaya ya Serengeti walishiriki. . . . Kauli mbiu "Usimamizi makini wa elimumsingi ni nyenzo ya kuimarisha Matokeo ya ujifunzaji na ufundishaji" (at Mwanza) https://www.instagram.com/p/CmgP1c-txhX/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
MAJIMOTO SEKONDARI SCHOOL! (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/CmMmhEOtUPa/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA Viongozi ,Wananchi na Wadau mbalimbali wilayani serengeti Wameadhimisha Miaka 61 ya Uhuru kwa kufanya kongamano lililopambwa na Bonanza la michezo la mbalimbali na Mdahalo.Mdahalo ulioangazia Hatua kubwa za Kimaendeleo katika Janja mbalimbali ambazo wilayani ya Serengeti na Tanzania kwa ujumla imepitia. Habar Pichai: Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Serengeti Ndg.Gasper Irigo akizungumza Jambo wakati wa Kongamano Hilo. (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/Cl9I8e3NB_y/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
Kuelekea Kilele cha Siku ya Maadhimisho Uhuru Tanzania wa Bara,Shughuli za usafi wa Mazingira ukiendelea. . . . (at Serengeti District) https://www.instagram.com/p/Cl6pOK7tlr2/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
at Serengeti District https://www.instagram.com/p/Clo4_ZXtM4-/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
I:ZIARA YA BALOZI WA PAMBA NCHINI WILAYANI SERENGETI https://www.instagram.com/p/Ck-swZpt9rv/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LA KAWAIDA ROBO YA KWANZA JULAI-SEPTEMBA 2022 . . Habari picha: Matukio mbalimbali wakati Baraza Hilo. https://www.instagram.com/p/CkspazCtEs1/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
#Repost @tbc_online with @let.repost • • • • • • Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo Stephen Kagaigai na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayub Rioba Chacha wakiwa kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Serengeti mkoani Mara. Katika picha kutoka kulia ni Mkuu wa Kanda ya Ziwa Victoria (TBC) Zablon Mafuru, Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Hao Luo, Makamu Mwenyekiti wa Bodi Tuma Abdallah, Mwenyekiti wa Bodi Stephen Kagaigai, mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt. Vincent Mashinji na Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayub Rioba Chacha. https://www.instagram.com/p/CkkSJBaDXCN/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
#Repost @ofisi_ya_makamu_wa_rais with @let.repost • • • • • • Salama za Pongezi @ikulu_habari @dr.hmwinyi https://www.instagram.com/p/CkkRtgADWEr/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
I .Ujenzi wa Vyumba Kumi (10) Vya Madarasa Shule ya Sekondari Mapinduzi,Kwa ajili ya Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2023. . . . .#samiakazini https://www.instagram.com/p/CkjGXnNNU6R/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
Halmashauri ya wilaya ya Serengeti imeendelea kujizatiti na kuongeza juhudi katika kuimarisha afua mbalimbali za Lishe ambapo katika tathimi ya Robo ya Kwanza ‘’score card’’ katika upande wa  ziara za usimamizi  vituoni kuhusu masuala ya lishe 100%,watoto waliopata walipatiwa nyongeza ya matone ya vitamini A  Jumla ya watoto 70948 kati ya watoto 70677 sawa na 100%, Jumla ya akina mama/Walezi 36,325 kati ya  36,760 walipatiwa elimu ya Afya kutoka kwa watoa huduma za Afya sawa na 98.8%, Jumla ya mitaa na vijiji 72 viliazimisha siku ya afya na lishe kati ya 101 sawa na 71.3%, Jumla ya akina mama/Walezi 20,071 kati ya 8,645 walipatiwa elimu ya Afya ngazi ya jamii sawa na zaidi ya asilimia 100, Utoaji wa dawa za kuongeza damu (IFA) kwa akina mama wajawazito umefanyika kwa 91.4%. Kina mama 14,589 wamepatiwa dawa za kuongeza damu kati ya 15,967.Aidha Wilaya itaendelea  kuongeza juhudi wenye utekelezaji wa shughuli za lishe.   https://www.instagram.com/p/Ckgp1lKN9OI/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA SHULE SHIKIZI YA NAIGOTI Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Samson R. Wambura ambaye pia ni Diwani wa kata ya Kisangura ,imefanya Ziara ya Kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule shikizi ya Naigoti 31.10.2022,Mradi huo unatoka na fedha za Covid 19 No.5441 tcrp Tsh. 40,000,000/= Mradi huu ulianza kujengwa 22/11/2021 na kukamilika 14/01/2022 ambapo vyumba viwili vya madarasa vimekamilika ,madawati wa kila chumba ambapo michango ya wananchi kwa kutoa viashiria thamani yake ni 6,015,000/= Vifaa vyenye thamani ya tsh 3,129,216/= vimebaki. Kamati imeipongeza shule kwa usimamizi mzuri wa miradi na ushirikishwaji wa wananchi. https://www.instagram.com/p/CkbbUodts3H/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 1 year
Photo
Tumblr media
II.: ZIARA YA KUKITEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA KIKUNDI CHA NEEMA-MOROTONGA Dhumuni la kikundi hiki ni kuwainua akina mama katika miradi midogo midogo ili kuweza kuboresha maisha ya familia zao na kukuza vipato,Kufikia lengo hilo kikundi kimeanzisha miradi ya kutengeneza sabuni za maji na za vipande ,kuuza vitenge na mabaitiki,kufuga kuku wa kienyeji ,shamba dogo la migomba na ushonaji wa mikeka. Kikundi hiki ni miongoni mwa vikundi vilivyopo katika halmashauri ya wilaya ya Serengeti ambacho pia kinanufaika na mikopo ambapo mpaka sasa kikundi kishakopeshwa jumla ya Tsh.6,000,000/= Kikundi hiki kinapitia changamoto ya kukosa masoko kwa ajili ya kuuza bidhaa zao. Kamati imekipongeza kikundi hicho na kukitaka kiiendelee kufanya kazi kwa juhudi na kujitahidi kutafuta masoko katika maeneo mbalimbali ikiwemo minadani ili kuweza kuuza bidhaa zao kwa haraka Habari Picha: I:Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mhe.Samson R. Wambura akizungumza na wanankikundi hao. II.Matukio Mbalimbali wakati wa Ziara ya kukitembela kikundi hicho https://www.instagram.com/p/CkbZ944t4Tx/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes