Tumgik
chekatime-blog · 7 years
Text
Hahaha wabongo wana maneno eti pesa kama ukimwi
Tumblr media
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
Hahaha mtoto kastuka huyu mzee kweli noma duuuh 😂
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
Hahahaha sijui wanaogopa mende 😂😂😂😂😂. Hivi wadada kwa nini mnaogopa mende?
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Misemo kuntu ya wabongo ila ina mafundisho mazuri
Nimekaa Nikafikiria Sanaaa!
Unga ya 50kg ni 78,000/=. Na Cement ya 50Kg Ni 16,000/=.
😡 Kumbe kujenga nyumba ni rahisi kuliko kujenga mwili!!?
👉🏽 Nisiskie tena mtu ana kitambi na hana nyumba!!!
💀 ✋/|> 👖 / / 👞👞
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 🇹🇿_ Bongo_ 🇹🇿
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Cheka kidogo na hii wabongo tuna vituko sana 😂😂😂😂😂
*Difference between TANZANIA , UK and USA.* Wale hawajui kiingereza nimesema "Tofauti kati ya TANZANIA, UINGEREZA na MAREKANI.. *Kumtambulisha mke:-* USA - this is my lovely wife. UK - this is my lovely queen. TANZANIA- huyu ndiye mama watoto.😜 *Mke kumuaga mume wake wakati anaenda kazini:-* USA -have fun at work honey UK - see you later sweery. TANZANIA- Chelewa leo tena utaona. *Mume kumsifia mke wake kapendeza na gauni jipya:-* USA - you look smart in that new dress. UK - i miss to walk with you in that dress my dear. TANZANIA- inaonekana manager ameanza kukutongoza ukitoka na hiyo nguo usirudi hapa. *Mtoto akifeli mtihani shuleni baba anasema:-* UK- you can still do better darling, USA- Yes you can, I know you can, TANZANIA- kumbe niliuza ngo'mbe ili nipeleke ng'ombe nyingine shule. 😃😃😃😃😃😃
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
Haha cheka kidogo na hii from bwana mchungaji
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
Hahaha hii sasa hatari wadada jamani kwanini mfanya hivi?
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Tabia za wadada wa mjini kujifanya wanajua kila kitu imewatokea puani. Cheka kidogo :)
Tumblr media
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
BEST COLLECTION OF....."SIPENDI UJINGA MIMI"
1. Jana, nilikutana na boy fulani akaniuliza mbona nimekunja uso. , nikamjibu, nataka kuiweka kwa bag. Sababu mi sipendi ujinga. 2. Juzi neighbor yangu alikuja akaniambia nipunguze sauti ya radio anataka kulala. Jana akipika chapoo na mimi nkamwambia apunguze harufu ya chapati nataka kula ugali. Saa hii tuko kwa landlord tunaongea hio maneno. Ju sipendi ujinga. 3. Ushawahi katia mrembo sana mpaka anakushow uende kwao unapata hakuna mtu na pia yeye hayuko......KUMBE HUYO MREMBO HAPENDI UJINGA. 4. Sasa polisi anatusimamisha eti juu number plate ya nyuma na ya mbele haifanani, alafu beshte yangu anamuuliza kama uso yake na matako inafanana.......mi imebidi nicheke sai tuko central ndo napatiana simu, so nitakua mteja kiasi .Hata polisi kumbe hawatakangi ujinga. 5. Ex wangu amenicall kuitisha earphones zake..nmempelekea earphones nkachukua simu yangu..nmemwacha akiziconnect kwa radio. Hata mimi nmerealise sipendangi ujinga. 6.Nimeenda hosi kupimwa ugonjwa, results kukam doc ananisho ati choo yangu ni mbaya....sai najenga ingine, sipendingi ujinga mimi 7. *After sex dem anakuambia umpee panty ilianguka chini ya bed, unapata ni mbili na hukumbuki yake ilikuwa colour gani...*Hapo ndio unatambua ufisi pia haitakangi ujinga* 8 . Nlitoka rave 3am juzi.Kufika Moi avenue taxi ya home inalipisha 1500 na basi ya kwenda Mombasa inalipisha 700, Nlienda Mombasa na 700 nkarudi na 700 na nkabaki na mia. Sitakangi ujinga mimi. 9. Mlevi anapanda gari alafu conda anamuuliza"na hii ulevi yako utaenda mbinguni kweli" mlevi akamjibu"kama mnaenda mbinguni simamisha gari nishuke mimi naenda tu apa ngara.......….........PIA MLEVI HAPENDI UJINGA 10. Mtoi wa neighbour amenizoea sana. Nikimtuma kitu kwa duka anakula tu. Juzi nilimtuma mkate akaula, jana nikamtuma blueband akala. Leo nimetuma super glue, saa hii haongei. Ujinga sipendi!.. USICHEKE PEKEE YAKO...SHARE NA WENGINE KISHA TUNGA SIPENDI UJINGA YA KWAKO Lets have funny 😂😂😂😂😂
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Video
youtube
Watu wenye mvuto ndio wanapata fursa. Cheka kidogo na Mau fundi
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Huu ugonjwa unasababishwa na nini hasa? Tumenyooka baba 
Tumblr media
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Unene nao una shida zake jamani😂😂
youtube
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Tumblr media
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Photo
Tumblr media
Match na wife
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Cheza muziki
youtube
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Text
Ushauri tu lkn
Tumblr media
0 notes
chekatime-blog · 7 years
Quote
Weekend ndefu bila ya hela ni sawa na tamthilia ya kikorea bila ya subtitle 😀😀
0 notes