Tumgik
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya saba
S E H E M U : 07 TULIPOISHIA JANA PALE Kenny alitamka ” hawa watu ni wa aina gani ? ” aliongea Kenny nakuanza kurudi nyuma kisha wakatoka mbio kama vile wanafukuzwa walipanda magari yao haraka haraka nakuondokamda hule ndani wote wanangaliana lakini tukirudi upande mwingine. Daniel alimpeleka Sarafina moja kwa Moja hadi kwa rafiki yake anaeitwa Bernard ambae alikuwa na mke na mtoto wao mmoja…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya sita
S e h e m u : 06 TULIPOISHIA JANA PALE Derick ananyanyuka nakumuaga mchungaji kisha akaondoka zakelakini baada yakufika getini wakati anataka kushika mlango gafla sauti ilisikika kwa nyuma ikimwita na hakuwa mwingine Bali ni Rehema ambae alikuja mbio nakuongea ” Derick ndo unaondoka hata utaki kuniaga kweli? ”” Rehema siko Sawa ”’” kuna tatizo ? ” Derick alimtizama nakumjibu. ” kwa sasa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya tano
S E H E M U : 05TULIPOISHIA JANA PALE ” Mama Nahisi mwili wangu kukosa nguvu hivo ni dalili la jambo baya kujitokeza ” ” husiwe na wasi wasi mwanangu hakuna kitakacho tokea we lala tu acha kutia wasiwasi sawa binti angu?” aliongea Mama huku anamfunika na Shuka mwanae ambae alionekana kua na hofu ”’ basi Sarafina alipitiwa Na usinginzi huku upande wa pili bado vijana wanakatiza katiza mitaa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya nne
S E H A M U : 04TULIPOISHIA JANA PALEmda hule tayari mume wake amefika nnje ya hiyo mjengo. nae anataka kumuona mkewe haifamiki kama ni kwawema au kwa ubaya..upande wa Penina akiwa anamwangalia mtoto wake huku akilia kwa udhuni nakusema ” kwa kuwa huna baba basi utaitwa Sarafina, Mungu akulinde mwanangu Kwa mabaya, mpaka sasa bado nahisi nipo ndotoni tu, bado siamini kama nimechukua mimba ya mtu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya tatu
S E H E M U : 03TULIPOISHIA JANA PALE Assani mda hule anatoa simu sikioni akiwa ameshangaa tu. penina alipiga miyayo kisha akamuhoji kwa sauti ya uchovu  ” kuna Nini? ”’ Assani alimtizama nakumjibu ” Rafiki Yako Fatuma amefariki usiku wa saa Saba ‘”  ” Nini? ” Penina alipatwa na mshtuko. ” eeeeeh Fatuma kafa ? ” bado aliendelea kuhoji huku machozi yalianza kumteremka nakuangulia kilio kikubwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya pili
S E H E M U : 02 TULIPOISHIA JANA PALE” Stop !” basi ikabidi wasimame kama jinsi walivyo wakiwa wameshikilia viatu vyao mikononi. penina alimtazama Fatuma kwa wasiwasi mwingi mana sauti ya mganga ilimtisha kama ujuavyo tena sauti za waganga wengine upenda kutumia sauti nguvu. Jinsi mlivyo mgeuke na mrudi siwaitaji hata kidogo mnataka kuniletea matatizo. siwezi kuwa Saidia kwa lolote tatizo lenu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Sarafina sehemu ya kwanza
SARAFINAMtunizi : René Mpole Simbamahali : Congo KinshasaNo : +243971714012S E H E M U : 01” ebu nambie tu ukweli hiyo mimba umeitoa wapi? lah sivyo nakuua hapa hapa Penina ”’ Jamani utaniuaa tu bure mume wangu ni rudie Mara ngapi jamani ? hili uniamini. sijawai kukusaliti mume wangu , wala sijawai kabisa kukutana na mwanaume yeyote yule kimwili zaidi Yako tokea umenioaa Naomba uniamini…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Kitabu sehemu ya kumi na moja
Kitabu Sehemu ya kumi na moja. Endelea…Akiwa katikati ya mapambano, ndipo walipoanza kuona mizizi ya miti ikiwa inawashambulia maadui zao. Mfalme Kratos na mwanawe John walishangaa sana wakiwa hawaelewi nguvu zile zilikuwa zinatokea wapi. Askari waliotoka katika ufalme wa Sundal, waliona wanaanza kuzidiwa wakikosa mbinu zaidi za kujitetea. Walikutana na kitu ambacho hawakukitarajia kabisa.…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 1 year
Text
Kitabu sehemu ya kumi na moja
KitabuSehemu ya kumi na moja. Endelea…Akiwa katikati ya mapambano, ndipo walipoanza kuona mizizi ya miti ikiwa inawashambulia maadui zao. Mfalme Kratos na mwanawe John walishangaa sana wakiwa hawaelewi nguvu zile zilikuwa zinatokea wapi. Askari waliotoka katika ufalme wa Sundal, waliona wanaanza kuzidiwa wakikosa mbinu zaidi za kujitetea. Walikutana na kitu ambacho hawakukitarajia kabisa.…
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 2 years
Text
Humanity reaching a turning point on climate

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate velit esse cillum dolore eu fugiat nulla pariatur. Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa…
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 2 years
Text
If you can't love them, at least admire them
If you can’t love them, at least admire them
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate velit esse cillum dolore eu fugiat nulla pariatur. Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 2 years
Text
How exercising doesn't mean you burn calories
How exercising doesn’t mean you burn calories
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate velit esse cillum dolore eu fugiat nulla pariatur. Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa…
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 2 years
Text
TV's most bizarre new shows
TV’s most bizarre new shows
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate velit esse cillum dolore eu fugiat nulla pariatur. Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa…
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 2 years
Text
What happened to Bill's father?
What happened to Bill’s father?
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate velit esse cillum dolore eu fugiat nulla pariatur. Excepteur sint occaecat cupidatat non proident, sunt in culpa…
View On WordPress
0 notes
bookwormtz · 2 years
Text
The petrol that was poisoning children

What happened when Gen Xi grew up

Surprising images that puncture cliches of the country