Tumgik
#namtia
coffeenuts · 4 years
Photo
Tumblr media
https://www.deviantart.com/namtia/art/Overthinking-549279057
4 notes · View notes
Photo
Tumblr media
Somewhere waitin' for me, my lover stands on golden sand and watches the ships that go sailin' 
Tumblr media
lines by namtia color by @valenillustrates
128 notes · View notes
balshumetsbaragouin · 5 years
Photo
Tumblr media
I’ve been in such a pink/purple/blue Cosmic mood lately. I’m just going with the flow, might well follow my muse lol.
This is Cosmic Fae, a color piece of Namtia’s  gorgeous lines Metamorphosis!
14 notes · View notes
mwalimulomay-blog · 5 years
Photo
Tumblr media
Kwa upande wangu sijaona tatizo hapo .... Infact nimeona mtu aliye Tayari ku speak out mind yake... Watoto wetu wote wangeweza kuwa wazi kiasi hicho ingekuwa ngumu Sana kuharibiwa maisha maana tungeweza kuwaokoa mapema Nimemuases juzi Mwanafunzi nimesafiri mzunguko wa km zaidi ya 800 kumfikia, ila hiyo haimuondolei haki ya yeye kuongea anavyo feel bila kuvunja sheria... It's a price we have to pay for the freedom of speech and right of expression Not necessarily they would tell us what we need or want to hear.... But they are going to tell us the truth... Kwa mtazamo wangu waalimu wengi mafunzoni Haswa vyuo vikuu wanapitia same experience... Na sisi wahadhiri wengi tunajikuta kwenye setup Kama hiyo.... Kwa miaka nane nimekuwa nafundisha chuo/vyuoni huyo ni mmojapo niliyeweza ku capture .... The fact kwamba ameweza kuandika akijua naweza kuona, inaniambia nafanya vizuri kukaa nao Kama wadogo zangu maana kufundisha sio vita.... Na ukaguzi sio fursa ya kumkamata Mwanafunzi.... Wala kubali Cha kubariki ujinga wowote ... Ushauri wangu kwake na waalimu wengine kwenye FIELD Well... Namtia moyo kuwa ualimu ni zaidi ya kufundisha 👍 na Teaching Practice ni zaidi ya Assessment.....👍 Huu ndiyo wakati na fursa pekee ya kuweka kwa vitendo nadharia unazojifunza. Ni kipindi Cha kupitia na maandalizi kuwa mwalimu na sio mfundishaji Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya waalimu na wafundishaji Uwalimu ni wito na kazi.... Ufundishaji ni kutimiza wajibu na kuganga njaa Jiandae kuwa mwalimu Hiki ni kipindi Cha school practice ambayo ni zaidi ya teaching practice.... Ukiwa shuleni una fursa ya kufanya kazi na kusimamia chini ya uongozi wa shule yako. Unafanya Curricular activities na Co curricular activities.... Fursa ambayo hata ungekaa miaka 15 chuoni usingeweza kuipata kamwe Niambie mtazamo wako wewe Mimi ni Mwalimu Lomay @mwalimulomay Elisha Elias Lomay +255763737373 +255683737373 https://www.instagram.com/p/B1f1QRonLQy/?igshid=18ydzx2bkwdko
0 notes
astralseed · 7 years
Text
I got tagged by @fade--touched (thank you! <3)
Rules: Put your music on shuffle and write down the first ten songs that play.
ヒトリエ — サブリミナル・ワンステップ TK from 凛として時雨 — Secret Sensation Ellie Goulding - Paradise SPYAIR - YOU 2 やなぎなぎ — 三つ葉の結びめ Skrillex - Signal MYTH & ROID - STRAIGHT BET Giuseppe Ottaviani - Until Monday (John Askew Mix) Roger Shah & Signum - Healesville Sanctuary (Signum Mix) ヒトリエ — Inaikara I tag @chocolate-lemon @itsclowreedsfault @peachy-tooru @winzer @wolv31000 @serrarawillowfluttershy @namtia @magicfox3
2 notes · View notes
mazallaposts · 6 years
Link
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu video queen Agnes Gerald Masogange kulipa faini ya Shilingi Milioni 1.5 ama kwenda jela miaka 3 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam. Kutokana na hukumu hiyo Wakili wa utetezi Nehemiah Nkoko amesema kuwa watalipa faini. Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri amesema kuwa katika ushahidi wa kesi hiyo upande wa mashtaka ulikuwa na mashahidi 3 huku utetezi ukiwa na shahidi 1. Hakimu Mashauri amesema kuwa ameridhishwa pasina kuacha shaka juu ya ushahidi wa upande wa mashtaka hasa kwa uthibitisho uliotolewa na Mkemia Mkuu wa serikali kwamba mkojo wa mshtakiwa ulikutwa na chembe chembe za dawa za kulevya. Kutokana na kujiridhisha na ushahidi huo namtia hatiani mshtakiwa kwa makosa hayo ya kutumia dawa za kulevya-Hakimu Mashauri Baada ya Masogange kutoa utetezi wake Hakimu Mashauri amesema kuwa ameusikia utetezi wa mshtakiwa kwamba apewe adhabu ndogo huku upande wa mashtaka ukitaka apewe adhabu kali. Nimesikiliza maelezo ya pande zote katika kosa la kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin namuhukumu mshtakiwa kulipa faini ya Sh.Mil 1 ama jela miaka 2. Katika kosa la pili la kutumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam nakuhukumh kulipa faini ya Sh.Laki 5 ama jela miezi 12 amesema Hakimu Mashauri.
0 notes
mazallaposts · 6 years
Quote
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu video queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kulipa faini ya Shilingi Milioni 1.5 ama kwenda jela miaka 3 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam. Kutokana na hukumu hiyo, Wakili wa utetezi Nehemiah Nkoko amesema kuwa watalipa faini. Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema kuwa katika ushahidi wa kesi hiyo upande wa mashtaka ulikuwa na mashahidi 3, huku utetezi ukiwa na shahidi 1. Hakimu Mashauri amesema kuwa ameridhishwa pasina kuacha shaka juu ya ushahidi wa upande wa mashtaka hasa kwa uthibitisho uliotolewa na Mkemia Mkuu wa serikali kwamba mkojo wa mshtakiwa ulikutwa na chembe chembe za dawa za kulevya. “Kutokana na kujiridhisha na ushahidi huo, namtia hatiani mshtakiwa kwa makosa hayo ya kutumia dawa za kulevya,”-Hakimu Mashauri Baada ya Masogange kutoa utetezi wake, Hakimu Mashauri amesema kuwa ameusikia utetezi wa mshtakiwa kwamba apewe adhabu ndogo, huku upande wa mashtaka ukitaka apewe adhabu kali. “Nimesikiliza maelezo ya pande zote, katika kosa la kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin namuhukumu mshtakiwa kulipa faini ya Sh.Mil 1 ama jela miaka 2. ” Katika kosa la pili la kutumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam, nakuhukumh kulipa faini ya Sh.Laki 5 ama jela miezi 12,”  amesema Hakimu Mashauri.
http://www.mtazamonews.co.tz/2018/04/agnes-masogange-ahukumiwa-kwenda-jela.html
0 notes